Wanamgambo walifyatua darzeni za roketi kuishambulia Israeli kutoka Gaza

  • | VOA Swahili
    482 views
    Wanamgambo wa Palestina huko Ukanda wa Gaza wamefyatua darzeni ya roketi kuishambulia Israeli mapema Jumamosi, na kusababisha ving’ora kusikika kote nchini. Sauti za roketi zilizokuwa zinashambulia zikisikika hewani zilikuwa pia zinasikika huko Gaza na ving’ora vilikuwa vinasikika umbali hadi Tel Aviv, mji wa kibiashara na utamaduni wa Israeli, kilomita takriban 80 (maili 50) kuelekea kaskazini. -AP #israel #gaza #reels #igreels #videography #voa #hamas