Wanamitindo kutoka Magharibi mwa nchi wahofia usalama

  • | Citizen TV
    Wana mitindo wanaofanya kazi ya ‘modelling’ kutoka Magharibi mwa Kenya wanapendekeza kubuniwa kwa muungano mmoja wa kitaifa wa kutetea maslahi yao.Hii ni kutokana na kile wanachodai ni kuongezeka kwa visa vya kudhulumiwa kimapenzi na kunyimwa fedha na wandalizi wa hafla mbalimbali.