- 27,369 viewsDuration: 6:23Risala za rambi rambi zinaendelea kumiminika kwa familia na jamaa za aliyekuwa waziri mkuu Raila Amollo Odinga. Na huku baadhi wakiandika jumbe zao za mwisho kwenye kitabu cha rambirambi, wanamuziki walitumia talanta yao kumuomboleza kiongozi ambaye pia alipenda nyimbo na densi.