Wananchi wa Marekani na mataifa mengine wajitokeza kuiunga mkono Israel

  • | VOA Swahili
    4,993 views
    Ungana na mwandishi wetu Hubbah Abdi akikuletea muhtasari wa yale yaliyojiri mjini Washington, DC wakati wananchi wa Marekani na mataifa mengine walipojitokeza katikati ya jiji hilo kuunga mkono taifa la Israel. Endelea kusikiliza... #israel #palestine #lebanon #reels #igreels #videography #voa #hamas