Wananchi wa Pokot Magharibi wapewa ushauri kujihusisha na kilimo cha aina tofauti

  • | Citizen TV
    55 views

    Serikali ya kaunti ya Pokot Magharibi imeanzisha harakati za kuhamasisha wakazi wa kaunti hiyo kujitosa katika maswala ya kilimo ili kuzalisha vyakula vya kutosha na kusambaza katika maeneo yanayokabiliwa na uhaba wa mvua