Wananchi wahimizwa kujiunga na bima ya matibabu

  • | KBC Video
    7 views

    Gavana wa kaunti ya Makueni, Mutula Kilonzo Junior anawahimiza Wakenya kujisajili katika bima ya afya kwa jamii-SHIF akisema mpango huo mpya wa matibabu utawafaidi wale wanaougua maradhi sugu kinyume cha ilivyokuwa kwenye mpango wa hazina ya NHIF.Kilonzo ambaye alikuwa kwenye ziara ya kukagua miradi eneo la Mbooni aliwahakikishia wakazi kuwa serikali ya kaunti hiyo imejitolea kufanikisha mpango wa matibabu wa Makueni Care. Usemi wake umejiri baada ya wakazi kuzua tetesi kuhusu kuvurujika kwa mpango wa Makueni Care uliozinduliwa miaka minane iliyopita,

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive