Wananchi washauriwa kuripoti visa vya ukeketaji Samburu

  • | Citizen TV
    75 views

    Wakazi wa Kaunti ya Samburu wametakiwa kuripoti visa vya ukeketaji wa mtoto wa kike, kama njia Moja ya kuangamiza Mila hiyo potovu iliyopitwa na wakati na kuharamishwa na Sheria za nchi hii. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.