Wananchi wataka KNHCR kupewa mamlaka ya kushtaki polisi

  • | Citizen TV
    488 views

    Kufuatia ongezeko la visa vya mauaji ya Vijana kila wanapotokea mijini kuandamana, na takwimu za waliopoteza maisha kukinzana na zile rasmi za serikali, ombi limetolewa la kuipa tume ya Kitaifa ya kutetea haki za binadamu mamlaka ya kuwashtaki washukiwa wanaotekeleza mauaji hayo