Skip to main content
Skip to main content

Wanandoa Joseph Omido na mkewe Margaret walioaga kwenye ajali ya barabara wazikwa Bungoma

  • | NTV Video
    7,364 views
    Duration: 2:25
    Huzuni na simanzi ilitanda katika kijiji cha Ndalu, kaunti ya Bungoma, wakati wa mazishi ya wanandoa mhandisi Joseph Omido na mkewe Margaret, afisa wa Benki Kuu ya Kenya (CBK), ambao maisha yao yalikatizwa ghafla katika ajali mbaya ya barabarani iliyowaua wawili hao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya