Wanandoa Juja waadhimisha miaka 52

  • | KBC Video
    88 views

    Wanandoa wakongwe huko Juja waliadhimisha miaka 52 ya ndoa kwa kula upya kiapo cha ndoa yao, katika hafla ya kufana iliyohudhuriwa na jamaa na marafiki. Simon Kimani na Patiricia Wanjiku wanasema heshima baina yao na kuepuka mizozo ndio nguzo muhimu ya kuwa pamoja kwa nusu karne katika ndoa takatifu. Hii hapa simulizi yao ya uvumilivu, ustahimilifu na mahaba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive