Wanandoa madereva wa lori Rwanda

  • | BBC Swahili
    1,255 views
    "Tukipishana njiani tunasimama, tena tunaweza hata tukakaa siku nzima maana kampuni zetu zinajua sisi ni wanadoa' Kutana na Wanandoa ambao wamewashangaza wengi kwenye barabara kuu zinazotokea Tanzania na Rwanda kutokana na aina ya kazi wanayoifanya. Mume na Mke wote ni madereva wa roli wanaoishi Kigali Rwanda. Mwandishi wa BBC @annengugi amekuwa nchini Rwanda ambapo amezungumza na wanandoa hao. 🎥: Judith Wambare #bbcswahili #rwanda #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw