Wanandoa wawili waliohusika kwenye ajali wadai haki

  • | Citizen TV
    Wanandoa wawili katika eneo la big tree, huko kiminini kaunti ya Trans Nzoia, ambao sasa wanaishi na ulemavu baada ya kupata ajali miaka minne iliyopita wanalilia haki. Wawili hao wanadai kuwa licha ya mahakama kuwapa fidia ya shilingi milioni moja hawajapokea fedha hizo za matibabu.