Wanaogua ugonjwa wa macho mekundu wakimbilia baharaini kuosha uso Mombasa

  • | K24 Video
    563 views

    Wizara ya afya sasa imetoa tahadhari ya kusambaa kwa ugonjwa wa macho maarufu Red Eyes katika kaunti zingine mbali na kanda wa Pwani. Hayo yanajiri huku mamia ya wakazi katika kaunti ya Mombasa wanaougua ugonjwa huo wakimiminika katika fuo za bahari kujitibu.