Wanaoishi karibu na mbuga ya Amboseli walalamika kuhusu wanayama pori

  • | Citizen TV
    474 views

    Asilimia kubwa ya jamii ya wamaasai wanaoishi karibu na mbuga ya wanyama ya Asmboseli wamekuwa wakishambuliwa na na wanyama pori. ili kupunguza visa hivyo, bweni moja limejengwa katika shule ya msingi ya Oldonyo Oibor