17 Sep 2025 10:50 am | Citizen TV 72 views Duration: 2:04 Akina mama zaidi ya 500 kutoka hifadhi mbalimbali za wanyamapori laikipia kaskazini wamenufaika na meko ya kisasa yasiyotoa moshi mwingi ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.