Wanaoishi msituni Krisia katika kaunti ya Samburu watakiwa wahame kufikia kesho

  • | Citizen TV
    202 views

    Serikali imetoa makataa ya siku Moja Kwa wale waliodinda kuondoka katika msitu wa Krisia katika Kaunti ya Samburu kwamba wahame. Naibu kamishna wa Samburu Magharibi Titus Omanyi akizungumza kwenye kikao na washikadau wa kulinda misitu amesema wananuia kuwafurusha wanaoishi msituni mara moja.