Wanaoishi na ulemavu Garissa wataka sensa

  • | Citizen TV
    301 views

    Jamii ya watu wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Garissa sasa wanataka zoezi la sensa ya kufanyika ili kubaini idadi yao kamili ina kuiwezesha serikali ya kaunti kuwawekea mikakati ya kuimarisha maslahi yao