Wanaoishi na virusi vya ukimwi hususia kumeza dawa kupunguza makali ya virusi hivyo

  • | K24 Video
    20 views

    Mtu anapotambulika kuwa na virusi vya ukimwi, hupatiwa dawa aina za ARV zinazopunguza makali ya virusi hivyo, na manufaa yake ni mengi yakiwemo kufikia kiwango cha kutoeneza virusi vya HIV. Hata hivyo unapokosa kumeza dawa, madhara ni chungu nzima yakiwemo mauti.