Wanaokopa kwenye mitandao wakabiliwa na changamoto

  • | Citizen TV
    1,790 views

    Mwaka wa 2022, Benki Kuu ya Kenya iliweka kanuni na mikakati kuhusu mikopo ya kidijitali ili kuboresha huduma kwa wateja. Hata hivyo, wateja bado wanaendelea kukabiliwa na madeni wakielezea changamoto wakati wa kulipa mikopo kutoka kwa kampuni zinazotumia mitandao kutoa mikopo.