Wanaowapiganisha Fahali kaunti ya Kakamega wataka mchezo huo kutambulika rasmi

  • | West TV
    276 views
    Kupiganishwa kwa fahali katika kaunti ya Kakamega kumeendelea kuvutia vijana wengi licha ya ajali zinazoshuhudiwa. Sasa serikali ya kaunti ya Kakamega inaombwa kujenga uga wa mchezo huu katika maeneo bunge husika kuwezesha ukusanyaji ushuru kutoka watazamaji kama inavyofanywa kwa michezo mingine nchini kuimarisha utamaduni huu