- 2,881 viewsDuration: 2:53Baadhi ya wabunge wanaopinga serikali waliondolewa kutoka kwa baadhi ya kamati zenye ushawishi mkubwa katika bunge la kitaifa, watetezi wapya wa serikali wakipewa nafasi hizo. Katika mabadiliko hayo, mbunge wa Suba South Caroli Omondi aliondolewa kutoka wadhfa wake wa mwenyekiti wa kamati ya utekelezaji wa katiba.