Wanaovuka madaraja yaliyofurika Trans Nzoia watahadharishwa

  • | Citizen TV
    205 views

    kamishina wa kaunti ya Trans Nzoia Gideon Oyagi ametoa tahadhari kuhusu hatari ya kupitia ndani ya mito iliyofurika. tahadhari hiyo inajiri baada ya mtu mmoja kuaga dunia kwa kusombwa na maji akijaribu kuvuka mto uliokuwa umefurika eneo la Suwerwa, Cherengany. Oyagi amewataka wananchi kuwa makini na kuepuka maeneo hatari msimu huu wa mvua nyingi.