Wanariadha wafanya matembezi Nandi kumkumbuka Kelvin Kiptum

  • | Citizen TV
    620 views

    Mamia ya wanariadha kutoka kaunti ya Nandi walifanya matembezi ya zaidi ya kilomita tano huku wakiwasha mishumaa kuwakumbuka wanariadha Kelvin Kiptum na Henry Rono walioaga dunia siku chache zilizopita.