Wanasayansi wameashiria utashi wa kuboresha utafiti nchini kuhusu saratani

  • | K24 Video
    45 views

    Wanasayansi wameashiria utashi wa kuboresha utafiti humu nchini kuhusu saratani, kwa nia ya kutambua vichochezi, na utengenezaji wa chanjo na matibabu bora yanayotufaa. Haya yanajiri siku moja baada ya kongamano la saratani, ambalo maudhui yake yalikuwa ni kuziba pengo la tiba, ambalo Wakenya wengi wanakumbana nalo katika kutafuta matibabu ya saratani.