Wanasiasa kaunti ya Busia wamlaumu Gavana Paul Otuoma

  • | Citizen TV
    132 views

    Haya yanajiri siku chache tu baada ya gavana huyo kuisuta serikali kuu kwa kupuuza kaunti ya busia kimaendeleo, usemi ambao sasa umezua hisia kinzani kwa wanabusia.