Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa wa ODM na UDA waimezea mate kiti cha Kindiki huku Ruto akimtetea naibu wake

  • | NTV Video
    11,137 views
    Duration: 4:06
    Ofisi ya Naibu Rais inaendelea kuwa mojawapo ya nyadhifa zenye nguvu na zenye ushindani mkubwa zaidi katika siasa za Kenya. Na licha ya hakikisho la Kiongozi wa Chama cha ODM Oburu Oginga kwamba chama hicho hakilengi kiti cha Naibu Rais Kithure Kindiki, mikondo ya kisiasa ndani na nje ya ODM, ikiwemo ndani ya Chama cha UDA chake Rais Ruto inaashiria hali tofauti. Wanasiasa kadhaa wanaripotiwa kuimezea mate nafasi hiyo . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya