Wanasiasa wa Third Force wamtaka Duale kujiuzulu kwa sakata ya bima ya SHA

  • | Citizen TV
    771 views

    Viongozi wa mrengo wa Third Force sasa wanasema wataanzisha mchakato wa kumbandua mamlakani waziri wa afya Aden Duale kufuatia sakata ya malipo ya SHA. Wakiongozwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, viongozi hawa wamelaumu serikali kwa kulegezea vita dhidi ya ufisadi. Haya yanajiri huku nao viongozi wa Kenya kwanza wakiapa kupigana na ufisadi wakisema viongozi wa upinzani pia wanahusika pakubwa na karibuni watakamatwa