Wanasiasa wa Wiper wamtaka Raila Odinga kutangaza msimamo wake wa kisiasa

  • | NTV Video
    590 views

    Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga ametakiwa kutangaza msimamo rasmi iwapo yuko ndani ya serilali ya Kenya au upinzani. Baadhi ya wanasiasa wa chama cha wiper katika kaunti ya Machakos wakiongoza na naibu gavana wa machakos Francis Mwangangi wakizungumza mjini machakos wamemtaja Raila kama mwanasiasa mcheza kamari na maisha ya wakenya kwa kuwa kigeugeu kwa maswala muhimu ya kitaifa na kuwasaliti wafuasi wa Azimio.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya