Wanasiasa wakongwe waapa kuungana na vijana kudai haki kwa Albert Ojwang.

  • | NTV Video
    2,493 views

    Baadhi ya wanasiasa wakongwe nchini wakiongozwa na wakili Gitobu Imanyara wameapa kuwa wataungana na vijana katika maandamano iwapo serikali itashindwa kutekeleza kwa haraka haki kwa Albert Ojwang.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya