Wanasiasa wakongwe waelezea wasiwasi kuhusu yanayoendelea

  • | Citizen TV
    11,399 views

    Wanasiasa wa zamani sasa wanasema wako tayari kuongoza mazungumzo ya kuleta maridhiano nchini. Wanasiasa hao wanaojumuisha maspika wa zamani na wanasiasa wastaafu wamekashifu ghasia zilizoshuhudiwa nchini wakisema maridhiano yanahitajika kurejesha umoja nchini. Melita Oletenges na taarifa hii kwa kina.