Wanasiasa wanavyovuna kura kutokana na ubovu wa barabara ya Misikhu kuelekea Brigadier (sehemu ya 2)

  • | West TV
    77 views
    Watumizi na wakazi wa barabara ya Misikhu kuelekea Brigadier wazidi kulalamikia kujikokota kwa ujenji wa barabara hiyo. Wanasiasa sasa wasutwa kwa kutumia barabara hiyo kuvuna kura kutoka kwa wakazi