- 423 viewsDuration: 1:11Kamishina wa Nyanza Flora Mworoa sasa ametoa onyo kwa viongozi wa kisiasa, dhidi ya kuzua rabsha wakati wa ziara ya rais eneo la Nyanza. Akizungumza na wanahabari, Mworoa amewataka wakazi kujitokeza kusikiza hotuba ya rais, ambaye atazuru eneo la Nyanza kwa siku nne.