Wanasiasa wataka uhuru wa IEBC udumishwe

  • | KBC Video
    69 views

    Wanasiasa wameendelea kuishinikiza tume mpya huru ya uchaguzi na mipka, IEBC kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki huku ukikaribia. Haya yanajiri huku wanasiasa wakigawika kuhusiana na matukio ya maandamano ya tarehe 25 mwezi uliopita ana tarehe saba mwezi huu kukiwa na miito ya uwajibikaji na haki kwa waathiriwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive