Wanasiasa watupiana cheche za maneno kuhusu familia zao

  • | Citizen TV
    452 views

    Baadhi ya familia za wanasiasa zimejipata pabaya katika siku za hivi majuzi baada ya nipe nikupe, ambapo baadhi ya wake na waume wa wanasiasa hao wametajwa ili kufunga mabao ya kisiasa.