"Wanatutukana kuwa sisi wanaume kwa kuwa tunacheza mpira"

  • | BBC Swahili
    Wakati wa utawala wa miaka 30 ya utawala wa Omar al-Bashir nchini Sudan, kuliwekwa marufuku wanawake kutocheza kandanda. Lakini kwa mara ya kwanza serikali imekubali kuanzishwa kwa ligi ya wanawake. #Sudan #BBCSwahili #Wanawake