Wanaume 2 washtakiwa kwa mzaha hatari barabarani

  • | Citizen TV
    4,776 views

    Wanaume wawili Peleg Monari na Peter Igadwa, walioonekana wakichomoza kupitia madirisha ya gari lililokuwa likiendeshwa kwa kasi kwenye barabara ya Nairobi kwenda Mombasa, wameshtakiwa.