Wanaume Juja washabikia majukumu ya malezi

  • | Citizen TV
    275 views

    Wanaume Mjini Ruiru, Kaunti Ya Kiambu, Wamejitolea Kuchukua Majukumu Ya Kimsingi Ya Malezi. Kando Na Kuwapeleka Wana Wao Kwenye Kiliniki Za Chanjo, Wanaume Hao Pia Wanawapeleka Wake Na Mabinti Wao Kwenye Kliniki Za Ujauzito. Charity Kawira Alitangamana Na Kina Baba Hao Na Kuandaa Taarifa Ifuatayo.