Wanaume sita wa Kipalestina wasimulia walivyokuwa kizuizini Israel

  • | BBC Swahili
    2,013 views
    Wanaume sita wa Kipalestina waliozuiliwa na jeshi la Israel huko Gaza kwa karibu mwezi mmoja wanasema walipigwa vibaya huku mmoja akisema mguu wake wa kulia umekatwa baada ya wanajeshi wa Israel kumpiga risasi. #bbcswahili #gaza #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw