Wanaume wa Uganda wafundishwa kufanya kazi za nyumbani.

  • | BBC Swahili
    592 views
    Shirika moja lisilo la kiserikali nchini Uganda limeanizisha mradi wa kuhamasisha wanaume kufanya kazi za ndani majumbani. Wana amini kwamba kuwafundisha kupika, kusafisha, kuchota maji na kutunza watoto kutapunguza mzigo kwa wanawake. #bbcswahili #uganda #wanaume