Wanaume watakiwa kuwa mstari wa mbele kupambana na ukeketaji wa wanawake (FGM)

  • | VOA Swahili
    63 views
    - - - - - #VOASwahili Ili kutokomeza kabisa janga la ukeketaji katika Jamii za kiafrika, Wanaume wametajwa kuwa sehemu muhimu ya kukomesha tabia hiyo inayoelezwa kutoa utu wa wanawake na kuwasababisha matatizo ya kiafya na kisaikolojia, Wakati Dunia ikitafakari kuhusu ukeketaji wadau wanasema wlimu zaidi kwa Jamii na usimamizi wa sheria kwa apamoja vitasaidia kukomesha ukeketaji, mwananhabari weti Idd UWESU na maelezo zaidi