- 11,942 viewsDuration: 2:45Wanaume wawili mtaani Kariobangi North wanauguza majeraha ya risasi baada ya kujipata kwenye vurugu wakati wa hafla ya sherehe ya ushindi wa mwakilishi wodi iliyohudhuriwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua. Wiki moja unusu baada ya matukio hayo ya vurugu, waathiriwa bado hawajapata matibabu wala hata uchunguzi kufanywa kuhusu tukio hilo