Wanaume wengi wakumbatia mbinu za kupanga uzazi Kisumu

  • | Citizen TV
    390 views

    Huku Kenya ikiadhimisha siku ya matumizi ya mbinu za kupanga uzazi, wadau mbalimbali wametoa wito kwa serikali kuwahamasisha waume ili kuimarisha matumizi ya mbinu hizo. Kaunti ya Kisumu tayari imeanza mchakato wa kuwahusisha waume kueneza kampeni ya kupanga uzazi.