Wanaumuunga mkono rais wa zamani wa Brazil washambuli jumba la Congress

  • | BBC Swahili
    633 views
    Rais wa Brazil Luiz Inácio Lula da Silva ameapa kuwaadhibu wote wanamuunga mkono rais wa zamani Jair Bolsonaro baada ya kulishambulia jumba la jumba la Congress. #bbcswahili #brazil #jairbolsonaro