Wanawake Afrika wakabiliwa na changamoto za ukosefu wa mitaji na ardhi

  • | VOA Swahili
    62 views
    Ukosefu wa mtaji na ardhi bado ni changamoto kwa wanawake wanojihusisha na kilimo licha ya wao kuchangia kwa kiwango kikubwa katika uzalishaji wa chakula katika mataifa mengi barani afrika. Katika kongamano la kilimo lililoandaliwa Nairobi wiki hii wadau wametoa wito kwa serikali na asasi za kiraia kuongeza juhudi ili kufikia malengo ya maendeleo endelevu na pia kukabiliana na janga la njaa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.