Wanawake Kajiado kimeanzisha mradi wa kuelimisha watoto

  • | Citizen TV
    131 views

    Kikundi cha akina mama arobaini katika Kijiji cha Olgos, Kajiado ya Kati kimeanzisha mradi wa kuelimisha watoto wa wanachama kwa kuchangisha pesa