Wanawake kaunti ya Nakuru wakongamana katika uwanja wa Nyayo kusherekea siku ya wanawake

  • | Citizen TV
    313 views

    Hii Leo ikiwa siku ya wanawake duniani, katika kaunti ya Nakuru wanawake wamekongamana katika uwanja wa Nyayo kusherehekea siku hii.