Wanawake Kutoka Jamii Za Wafugaji Washauriwa Kujisimamia Kibiashara

  • | NTV Video
    86 views

    Shinikizo limetolewa kwa viongozi wa jamii za wafugaji kuweka mikakati ambayo itatoa fursa za wajane kujisimamia kibiashara huku serikali za maeneo bunge na za kaunti, zikitakiwa kuwaweka katika mstari wa mbele kwa utoaji wa basari.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya