Wanawake wa ANC waweka mikakati Nyamira

  • | Citizen TV
    388 views

    Wanawake wa chama cha Amani National Congress wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho wanafanya zoezi la kupanda miti katija juhudi za kukomesha mabadiliko ya tabianchi. aidha wanawake hao pia wamewatembelea kina mama waliojifungua Nyamira.