Wanawake wa Kimasai na Ulinaji asali

  • | BBC Swahili
    448 views
    Wanawake wa kimaasai mkoani Arusha wamevunjwa mwiko na kuingia kwenye ufugaji wa nyuki jambo ambalo si la kawaida kwenye jamii hiyo Maria Shinini anaongoza kundi la wanawake zaidi ya 50 ambao kwa sasa wanamizinga karibu 100 ambayo inawawezesha kupata zaidi lita kumi ya asali safi kwa kila mzinga Awali walikabiliana na upunzani kutoka kwa jamii ikiwemo wanaume ambao waliamini hakuna faida katika kufuga nyuki Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds aliwatembelea na kuandaa taarifa hii. #bbcswahili #arusha #maasai