- 298 viewsDuration: 3:23Mila ya kale imeendelea kuzima ndoto za wanawake wengi wafugaji wanaolenga nyadhifa za uongozi katika jamii. Viongozi wanawake kaunti ya samburu wakiongozwa wameanzisha kampeni ya kuzima mila hiyo na kuwachochea wanawake kujitosa katika siasa.